Meta

Kuza biashara yako katika msimu huu wa kilele na Meta Business Agent

Geuza mazungumzo zaidi kuwa ugeuzaji msimu huu wa sherehe kwa wakala wa AI kwenye WhatsApp. Pendekeza zawadi, jibu maswali, nasa mauzo, na zaidi—yote moja kwa moja kwenye soga.

Jinsi wakala wa AI anaweza kuisaidia biashara yako

Utaratibu wa haraka na rahisi

Jitayarishe kwa msongamano wa msimu kwa dakika chache kwenye WhatsApp, ambapo tayari unashirikiana na wateja wako — hakuna usimbaji unaohitajika.

Hujibu kila wakati

Wakala wako anaweza kujibu wateja 24/7 kulingana na sauti, toni na sheria ulizoweka—ingia kwenye mazungumzo wakati wowote.

Ongeza miunganisho na mauzo

Wakala wako hugeuza mazungumzo kuwa wateja kwa kupendekeza zawadi na kunasa miunganisho, kuweka nafasi au mauzo.

Nufaika zaidi na matukio ya msimu

Pata mwongozo wetu unaojumuisha mifano ya matumizi ya msimu, njia za kutayarisha wakala wako wa AI kwa msongamano wa mwisho wa mwaka, na jinsi ya kuenenda pindi ujumbe unaporundikana.

Tazama jinsi biashara nyingine zinavyokua

Rasilimali za kuanza kutumia Meta Business Agent kwenye WhatsApp

Kwa rasilimali za ziada, tembelea:

Ili kusaidia kubinafsisha maudhui, kurekebisha na kupima matangazo, na kutoa matumizi salama zaidi, tunatumia vidakuzi. Kwa kubofya au kupitia tovuti, unakubali kuruhusu mkusanyiko wetu wa taarifa ndani na nje ya Meta kupitia vidakuzi. Pata maelezo zaidi, ikiwa ni pamoja na kuhusu vidhibiti vinavyopatikana: Sera ya Vidakuzi