Matangazo yaliyoundwa kwa kuzingatia faragha
Licha ya hali yoyote, ujumbe wa binafsi, simu na hali zimefumbwa mwisho hadi mwisho na haziwezi kutumika kuwaonyesha watu matangazo.





Jinsi matangazo yetu yanavyofanya kazi
WhatsApp hutumia teknolojia ya Meta kuwaonyesha watu matangazo. Tunalinda data ya kibinafsi, kama vile nambari za simu; ujumbe wa kibinafsi, simu, hali na waasiliani wa kifaa hazitumiwi kuwaonyesha watu matangazo.
Tunategemea taarifa kama vile:
Kama vile msimbo wa nchi na umri (panapotumika)
Jinsi tunavyolinda faragha ya watu
Hakuna mtu yeyote aliye nje ya gumzo, hata WhatsApp, anayeweza kuona, kusikia au kushiriki ujumbe wa kibinafsi, simu au hali. Hii inamaanisha kuwa hakuna maelezo haya yanayoweza kutumika kuwaonyesha watu matangazo.
Gundua mustakabali wa matangazo kwenye WhatsApp
Tunaunda njia ya kutangaza kwenye WhatsApp ambayo haihusishi ujumbe wa kibinafsi wa watu.
